Preview Mode Links will not work in preview mode

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Dec 26, 2022

Ijumaa daima huja kabla ya Jumapili. Hatupaswi kutarajia kufikia furaha bila kupitia maumivu fulani kwanza.


Dec 19, 2022

Ikiwa tunataka kuishi kwa furaha, tunahitaji kujifunza jinsi ya kuishi "maisha ya Mungu" sio "maisha ya kibinafsi."


Dec 12, 2022

Katika kipindi cha leo, Joyce anakuhimiza "kuboresha imani yako," na kutambua ya kwamba Mungu anafanya kazi kikamilifu ndani yako na kupitia wewe.


Dec 5, 2022

Unaweza kuabudu kwa nguvu kanisani, lakini maneno yako ni nini wakati ni wewe tu, Mungu na shida zako? Leo, Joyce anafundisha kwa nini huo ndio wakati muhimu zaidi wa kumzingatia Yeye.


Nov 28, 2022

Joyce anafundisha juu ya umuhimu wa kumtafuta Mungu kwa jinsi alivyo kuliko kile anachoweza kunifanyia.