Preview Mode Links will not work in preview mode

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Jan 17, 2022

Kujifunza kungojea kwa subira kwa baraka za Mungu ni sehemu muhimu ya kudumisha furaha yetu.


Jan 10, 2022

Sio hali zetu ambazo huamua furaha yetu. Ni mtazamo wetu wakati wa hali zetu ndio huleta tofauti.


Jan 3, 2022

Hatutaweza kufurahiya faida kamili ya kutembea na Mungu mpaka tutakapofananisha miili yetu ya nje na roho inayokaa ndani yetu.