Preview Mode Links will not work in preview mode

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

May 30, 2022

Mtazamo ulio nao wakati wa shida ni muhimu kwa mafanikio yako ya mwisho. Jifunze jinsi kufanya mema kwa wengine kunaweza kuinua roho yako na kukuinua kutoka shimoni.


May 23, 2022

Je! Yosefu alitokaje kutoka kwenye shimo hadi ikulu? Hakukata tamaa wakati mambo yalikuwa magumu katikati ya safari.


May 16, 2022

Mfalme Daudi alitenda vibaya. Lakini kila wakati aliudumisha moyo uliotamani sana kufanya mapenzi ya Mungu.


May 9, 2022

Je! Una mawazo au tabia zinazomhuzunisha Roho Mtakatifu? Joyce anafundisha jinsi hii inaweza kukuzuia kukua katika imani yako.


May 2, 2022

Joyce anafunza jinsi nguvu ya Roho Mtakatifu inakaa ndani yako ili kukuwezesha kufanya chochote ambacho Mungu anahitaji ufanye.