Preview Mode Links will not work in preview mode

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Oct 25, 2021

Mawazo mazuri hayatakuja kwako tu. Lazima kwa makusudi uweke njia na mafikra za zamani kando, na ufanye upya akili yako na mawazo yanayomheshimu Mungu.


Oct 18, 2021

Je! Unajua ya kwamba Mungu anataka yaliyo bora kwako na kwamba ni sawa kwetu kwenda kwake na kila hitaji letu, haijalishi kama ni hitaji kubwa au ndogo?


Oct 11, 2021

Kumuweka Mungu kwanza hutuunganisha ndani yake kama chanzo cha nguvu zetu. Tunahitaji kumpa matunda ya kwanza ya wakati wetu.