Preview Mode Links will not work in preview mode

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Oct 31, 2022

Endelea kusonga mbele katika kile ambacho Mungu amekuitia kufanya kwa kujifunza jinsi ya kushinda woga na kupata uhuru katika Kristo.


Oct 24, 2022

Haijalishi nini kinaendelea katika maisha yako, jifunze jinsi tabia ya kuaminiana inavyoachilia furaha huku subira hukuruhusu kufurahiya wakati huo.


Oct 17, 2022

Mungu hakukusudia ujipime uthamani wako kwa jinsi unavyoonekana na unavyohisi au kwa kujilinganisha na wengine. Ni wakati wa kugundua thamani yako ya kweli iko wapi.


Oct 10, 2022

Kipindi cha leo kitakupa changamoto ya kuachilia hali yako ya kutokuwa na usalama na kushikilia utambulisho mpya ulio nao katika Kristo.


Oct 3, 2022

Usikate tamaa kuwa mtiifu kwa wito wa Mungu katika maisha yako! Ishi zaidi ya kile unachotaka, kufikiria au kuhisi, kwa kukabidhi matamanio yako kwa Bwana.