Preview Mode Links will not work in preview mode

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Jan 30, 2023

Ili kuwa washindi katika vita vya maisha, ni lazima tukae safi katika ufahamu wa sisi ni nani ndani ya Kristo.


Jan 23, 2023

Maneno yako yana imani nyuma yake, na hiyo inamaanisha nguvu. Maneno utakayochagua yatafichua kile unachoamini na kuachilia nguvu ya imani hiyo.


Jan 16, 2023

Baadhi ya maneno muhimu sana utakayowahi kutamka ni yale unayosema kujihusu mwenyewe. Jifunze kunena Neno la Mungu katika maisha yako na kupokea nguvu zake.


Jan 9, 2023

Jitolee Mwili wako kwa Bwana. ( Warumi 12:1-2 ) Kila chumba ndani ya nyumba (miili yetu) inahitaji kuchunguzwa. Chumba cha kula, Sebule, Chumba cha kulala n.k.


Jan 2, 2023

Sisi ni Hekalu la Roho Mtakatifu. Je, Mungu anahisi "nyumbani" ndani yetu? Kristo ndani yetu, Tumaini la Utukufu!